Clear Lung Tea
Viungo:
Flos Chrysanthemi, Cordate Houttuynia, Bulbus Lilii, Apricot Kernel, Exocarpium Citri Rubrum, Green Tea
Kazi Na Faida Zake
- Husafisha mapafu; inaua bakteria na virusi katika mfumo wa upumuaji;
- Huongeza kiwango cha immunoglobulin; huongeza kinga za mwili;
- Huamsha lymphokine ambayo moja kwa moja huua virusi ndani ya mfumo wa upumuaji;
- Kukamua na kuyatoa makohozi haraka;
- Hutuliza asthma na kikohozi;
- Hutoa oksijeni kwa ajili ya ukarabati wa mucosa zilizoharibiwa; huimarisha utendaji wa tishu za epithelial za mapafu;
- Huboresha upitaji wa hewa kwenye mfumo wa upumuaji.
Yafaa Kwa:
- Watu wenye magonjwa ya mfumo wa upumuaji kama pulmonary TB, asthma, kikohozi sugu
- Watu wafanyao kazi kwenye maeneo yenye hewa chafu
- Wavutaji wa sigara na watu waishio na wavutaji wa sigara
Maelezo Muhimu:
Magonjwa Ya Mfumo Wa Upumuaji:
Kulingana na takwimu za WHO, kuna wagonjwa wapatao milioni 510 wa mfumo wa upumuaji kwa sasa. WHO inakadiria kuwa magonjwa ya mfumo wa upumuaji yatashika nafasi ya tatu kwa kuleta vifo duniani ifikapo 2030. Uchafuzi wa mazingira na flu ndivyo vyanzo vikuu vya matatizo ya upumuaji.
Flos Chrysanthemi inaweza kuondoa uvimbe (inflammation), kurutibisha mapafu, na ina tabia ya kuua virusi na kuzuia uzeekaji.
Cordate Houttuynia hutumika kutibu bronchitis, pneumonia, kikohozi na asthma.
Bulbus Lilii hurutubisha mapafu, kuondoa kikohozi na faida kwenye kikohozi kikavu na makohozi yenye damu yanayosababishwa na joto kali ndani ya mapafu. Ina utendaji katika kuondoa upungufu wa nguvu muhimu, pulmonary tuberculosis, na hemoptysis. n.k.
Apricot kernel inasaidia kutuliza kikohozi na asthma.
<<<<< MWANZO